Yedder Member Joined May 5, 2019 Posts 72 Reaction score 55 Sep 24, 2019 #1 kwema humu nina S7 edge Samsung lkn sion radio bila ya kutumia Internet nafanyaje niweze pata radio ya kawaida tu
kwema humu nina S7 edge Samsung lkn sion radio bila ya kutumia Internet nafanyaje niweze pata radio ya kawaida tu
de98 JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 737 Reaction score 760 Sep 25, 2019 #2 Angalia vizuri huwa zinakuja na wireless antena! Fanya kuifungua itawaka ukiona cheche ujue tayari mzigo
Angalia vizuri huwa zinakuja na wireless antena! Fanya kuifungua itawaka ukiona cheche ujue tayari mzigo