Zaituni Hassani
Member
- Jul 26, 2019
- 14
- 6
Hbl wanajf,msaada kwa anaejua taratibu za kujiunga na veta iliyopo tmk chang'ombe na ni mafunzo gani utolewa kwa watoto wa kike.
Vzr km umeelewa nilichomaanisha,km nawe ujui kaa kimya.Hbl = Habari
tmk = T.M.K au Temeke
utolewa = Hutolewa
Umetoka mbiombio umeona hapa ni facebook? Yani unaandikia watu kihunihuni alafu unasema kaa kimya... Unadhani nani atakupa msaada kwa huo muandiko kama mtoto wa darasa la kwanza...
AsanteSi unaijua ilipo?
Basi fika ofisini waambie unataka utaratibu wa kujiunga. Utapewa fomu.
BarikiwaUmetoka mbiombio umeona hapa ni facebook? Yani unaandikia watu kihunihuni alafu unasema kaa kimya... Unadhani nani atakupa msaada kwa huo muandiko kama mtoto wa darasa la kwanza...
Yani akili zako kweli kama za zaituni..... Namuonea huruma mzee hassani
Unaharibu lugha Kiswahili. Mbuzi we