DOGO KASOME NUTRITION.Wadau wa jf naomba msaada kwa kuangalia soko la ajira kati ya kozi ya diploma ya phamacy na bachelar ya human nutrition ipi bora nisome kwan nimechaguliwa izo mbili kwenye vyuo viwili tofauti
Soma Nutrition, wanaosoma Diploma ya Pharmacy ni wengi sana kwa sasa ila Nutrition ni wachache sana.Wadau wa jf naomba msaada kwa kuangalia soko la ajira kati ya kozi ya diploma ya phamacy na bachelar ya human nutrition ipi bora nisome kwan nimechaguliwa izo mbili kwenye vyuo viwili tofauti