Tetesi: Msaada

Edwin tagaya

Member
Aug 2, 2019
9
2
wakuu naombeni mnisaidie tofauti kati ya chuo cha wanyamaa pori mweka na chuo cha wanyam pori pasiansi na kwanin mweka ada yao ni kubwa sna? Msaada wenu wakuu
 
SASA KUHUSU ADA KUBWA UNASHINDWA KUJIONGEZA MKUU??

NI SIMPLE TU CHUKUA MFANO... KWA NINI SIMU ZA IPHONE NA TECNO ZINAUZWA BEI TOFAUTI NA HADHI YAKE NI TOFAUTI IJAPOKUWA ZOTE NI SIMU?
 
Sawa nimekupta vzuri kaka, unanishaur vip kuhus hili
 
Nenda mweka bila kujali ada kubwa,alaf iyo ada ina cover vitu vyote hadi accommodation na meal,ukisoma pansiansi unaenda tena kuanza mweka basic certificate.
 
Back
Top Bottom