Wakuu kulingana na kichwa cha habari hapo juu nisaidieni kwa hili je inawezekana kwa mtu kusoma kuanzia certificate hadi degree ukiwa open university maana nataka nifanye hivyo nikasome law nikiwa open
Ikiwa una sifa za kujiunga na A'level kwa mujibu wa necta basi unaweza.
Ila kama una division 1 au 2 basi nakushauri ukasome cert of laws UDSM mwaka mmoja tu, na ukipata distinction unakuwa na sifa za kujiunga na bachelor of laws UDSM moja kwa moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.