Msaada

Msaada

linah smile

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
84
Reaction score
57
Kwa wale wanaoingia instagram mfano unakuta iko hivi (joseph patrick started follow you) afu ukifollow unakua umemuongeza kwenye idadi ya marafiki,naomba mnisaidie huwa wanafanyaje mpaka inakuja (started follow you)??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda settings > notifications > hapa utakuta options za notifications unazotaka kuzipata punde zitakapo jiri.
Kwa mfano uta tick hiyo unayotaka ya "if you get a new follower", so mtu akiku follow utapewa taarifa / notification kwamba "(name) started following you", then utaamua um follow back au la.

silent_ocean
 
Ahsanteeeeee

Samahani nataka nikimfollow mtu kwake ndo iandike started follow you apo nafanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom