msaada

Write your reply...Mkuu Huyo Anaenda Chuo Tu, Busness Admn, Law, Human Resource Management, Journalism, N.K
 
mdogo wangu amemaliza form 4 na ana 4 ya 29 ni cousre gani anaweza akasoma yupo zanz

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlete shuleni ajichanganye na wenzake, ataweza kuanza masomo ya advance kwa kutumia mfumo maalum wa special need programs. Wapo wenzake pia waliokosa credit kama yeye, na pia wapo waliofanikiwa kutumia mfumo huo na wakatoka kielemu now wapo vyuoni. Hivyo nadhani hii ni njia nzuri ya kumsaidia mdogo wako aweze kuendelea vizuri katika safari yake ya elimu.

Kama atakuwa interested kwa hilo, naomba unichek pm ili nikupe maelezo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom