Sadiki Abdallah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 885 Reaction score 583 Nov 24, 2018 #1 wadau naomba msaada wa namna ya kuifanya mtandao wa instagram zile video zisiplay zenyewe, si mnajua mb zenyewe za kuungaunga, natanguliza shukrani[emoji1317][emoji1317]
wadau naomba msaada wa namna ya kuifanya mtandao wa instagram zile video zisiplay zenyewe, si mnajua mb zenyewe za kuungaunga, natanguliza shukrani[emoji1317][emoji1317]
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,236 Reaction score 54,749 Nov 24, 2018 #2 Wanaume wa Instagram mnaitwa huku
Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,926 Nov 24, 2018 #3 Numbisa
Sadiki Abdallah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 885 Reaction score 583 Nov 24, 2018 Thread starter #4 eeh wakuje aretasludovick said: Wanaume wa Instagram mnaitwa huku Click to expand...
Sadiki Abdallah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 885 Reaction score 583 Nov 24, 2018 Thread starter #5 hapana nitapishana na vimbwanga vya haji manara vs kimambe OHB11 said: Uninstall tu ndiyo dawa ya kudumu mkuu Click to expand...
hapana nitapishana na vimbwanga vya haji manara vs kimambe OHB11 said: Uninstall tu ndiyo dawa ya kudumu mkuu Click to expand...
OHB11 JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 602 Reaction score 1,464 Nov 24, 2018 #6 Sadiki Abdallah said: hapana nitapishana na vimbwanga vya haji manara vs kimambe Click to expand... Kama ni hivyo kubaliana na hali halisi tu mkuu maana hakuna namna ya kufanya hizo video zisiplay zenyewe
Sadiki Abdallah said: hapana nitapishana na vimbwanga vya haji manara vs kimambe Click to expand... Kama ni hivyo kubaliana na hali halisi tu mkuu maana hakuna namna ya kufanya hizo video zisiplay zenyewe
Sadiki Abdallah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2016 Posts 885 Reaction score 583 Nov 24, 2018 Thread starter #7 du !! OHB11 said: Kama ni hivyo kubaliana na hali halisi tu mkuu maana hakuna namna ya kufanya hizo video zisiplay zenyewe Click to expand...
du !! OHB11 said: Kama ni hivyo kubaliana na hali halisi tu mkuu maana hakuna namna ya kufanya hizo video zisiplay zenyewe Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,403 Reaction score 465,266 Nov 24, 2018 #8 Hata sijaelewa sijui sababu mm muhenga