msaada

msaada

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Jamani habari ya loan allocation ndio kusema kwamba mchanganuo utajulikana ukifika chuo au heslb watatuma kwenye account za applicants. Mwenye taarifa tafadhali tujuze au hata kama kuna loan officer humu anaweza habarisha umma kinachoendelea
 
Write your reply...ripoti chuo kila kitu utakuta uko mm nime ripoti kila kitu nimekuta uko mchanganuo mzima nenda chuo aisee
 
Jamani habari ya loan allocation ndio kusema kwamba mchanganuo utajulikana ukifika chuo au heslb watatuma kwenye account za applicants. Mwenye taarifa tafadhali tujuze au hata kama kuna loan officer humu anaweza habarisha umma kinachoendelea
allocation mpk saivi naona zinatolewa chuoni mfano sua na udom wameshatoa allocation.
 
Back
Top Bottom