Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 6,706
- 12,446
Jinsi ya kuondoa kialama cha headphones kilichobak kwenye simu uku headphones zikiwa hazipo
Kiliingia simu ikiwa inaplay music kwenye sabufa kwa kutumia waya wenye pin ya headphones?Jinsi ya kuondoa kialama cha headphones kilichobak kwenye simu uku headphones zikiwa hazipo
Jinsi ya kuondoa kialama cha headphones kilichobak kwenye simu uku headphones zikiwa hazipo
Jinsi ya kuondoa kialama cha headphones kilichobak kwenye simu uku headphones zikiwa hazipo
Ndiyondiyo mkuu ilikua ivyoKiliingia simu ikiwa inaplay music kwenye sabufa kwa kutumia waya wenye pin ya headphones?
Kwa kweli hapo ni mtihani, hapo akitoki labda upeleke kwa fundi anaejua electronics vizuri, abadilishe ic ya sound, ukwel ni kwamba mafundi wengi watakwambia haiwezekani maana ni kazi ngumu sana na mafundi wengi hawaiwezi, watakupa option ya kubadilisha circuit (mashine).Ndiyondiyo mkuu ilikua ivyo
Ni simu ya mshikaji mkuu ndo kinamsumbua na ngoja nije nimpe taarifaKwa kweli hapo ni mtihani, hapo akitoki labda upeleke kwa fundi anaejua electronics vizuri, abadilishe ic ya sound, ukwel ni kwamba mafundi wengi watakwambia haiwezekani maana ni kazi ngumu sana na mafundi wengi hawaiwezi, watakupa option ya kubadilisha circuit (mashine).
Sabufa uwa zinaua sound system, usirudie tena kosa la kuplay music kwa njia iyo.
Tecno new spark nazaniNi simu gani mkuu, ? Tecno, itel au Huawei? Ungespecify na model ingependeza zaidi.
Sawa sawa, majibu pia uyalete hapaNi simu ya mshikaji mkuu ndo kinamsumbua na ngoja nije nimpe taarifa
Mkuu kama ilikata ikiwa mwenye sabufa si uchafu imekufa ic ya sautisehemu ya earphoone ni either chafu au ina maji
ila nadani ni maji so tafuta kitambaa ufute huno ndani na kama ikikataa ni hardware issues