msaada

Ras wakambo

Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
71
Reaction score
6
jamani naomba mwenye ujuzi anisaidie, nina dish la dstv nataka nilitumie pamoja na receiver ya mediacom...nifanyaje kupata mawasiliano?
 
linaweza kushika japo sina uhakika asilimia 100. tafuta fundi jirani au wewe mwenyewe kama una nafasi lielekezee huo upande ujaribu kusearch.
ASANTE SANA NDUGU CHIEF MKWAWA, NI CHANEL GANI NAEZA PATA HAPO ...NITAIFANYA KAZI HIYO MWENYEWE THEN NITARUDI HAPA....PIA HII RECEIVER INA SEHEMU YA ANTENA VIPI UNAJUA NINI KUHUSU ANTENA ILI NIKISHINDWA KWA DISHI NIRUDI KWENYE ANTENA
 
ASANTE SANA NDUGU CHIEF MKWAWA, NI CHANEL GANI NAEZA PATA HAPO ...NITAIFANYA KAZI HIYO MWENYEWE THEN NITARUDI HAPA....PIA HII RECEIVER INA SEHEMU YA ANTENA VIPI UNAJUA NINI KUHUSU ANTENA ILI NIKISHINDWA KWA DISHI NIRUDI KWENYE ANTENA
antena inategemea na technology zilizomo humo ndani, kibongo bongo receiver ikiwa na DVB-T (terrestrial) unapata baadhi ya chanell bure, ila kwa ufahamu wangu hio receiver haina hio option.

kuhusu chanell ukiclik hio link utaziona. zipo ITV, EATV, Capital, Start TV, Chanell 10, Agape, TV msumbiji, UBC ya uganda etc
 
ASANTE, KWENYE HII RECEIVER KUNA MATUNDU MANNE LNB IN, LNB OUT, ANTENNA NA TV/VCR NA VGA PORT NINAYOHAPA NA NDIO NMEISOMA THAT IS WHY NIKAULIZA MZEE
 
SORRY CHIEF MKWAWA VIPI KUHUSU USB PORT KWENYE DECODER YA DSTV NA ILE ETHERNET PORT?ZINA MATUMIZI GANI?
 
SORRY CHIEF MKWAWA VIPI KUHUSU USB PORT KWENYE DECODER YA DSTV NA ILE ETHERNET PORT?ZINA MATUMIZI GANI?
1. usb port hutumika kwa feature ya pvr (personal video recorder), hii unaweza ukarecord movie, michezo na vipindi mbalimbali na kuja kuviplay baadae, utahitajika kuchomeka kifaa cha storage kama flash au external hard disk. pia unaweza ukaset ijirekodi yenyewe. mfano upo kazini na kuna kipindi kinaoneshwa saa 6 mchana unaweza ukaset kikajirekodi ukirudi jioni unakiangalia. pia kuna feature ya kurudisha nyuma unaweza ukaieka kama una storage ya kutosha.

2. ethernet ni kwa ajili ya kuipa decoder yako uwezo wa kuingia internet, dstv wanakodisha/kuuza movies/series na entertainment mbalimbali, hivyo ukiwa na internet utaweza kustream
 
NM
NMEKUELEWA CHIEF MKWAWA
 
nmejaribu leo lakini napata signal quality 75% lakini strength haisogei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…