gery360 Member Joined Sep 16, 2016 Posts 78 Reaction score 102 Dec 19, 2017 #1 Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu kwenu, na bila kupoteza muda twende kwenye mada. Nahitaji msaada kwa yeyote anajua ni bus gani ziko poa kwa safari ya DSM-MBY, kwasab nasikia saiz vimeo ni vingi barabarani. Asanteni.
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu kwenu, na bila kupoteza muda twende kwenye mada. Nahitaji msaada kwa yeyote anajua ni bus gani ziko poa kwa safari ya DSM-MBY, kwasab nasikia saiz vimeo ni vingi barabarani. Asanteni.