Jamani mbona siku hizi kila kitu kipo tu katika Mitandao? Kama umeweza kuja humu JF umeshindwa nini tu Mkuu kuingia katika Website yao ili upate details zote? Kwanini tunataka sana kumpa Kazi Waziri Mama yetu Ndalichako kwa udhaifu wetu wa kufikiri na kujiongeza kwa mambo mepesi kama haya? Watanzania wenzangu tuache kuwa Wavivu wa Kifikra hivi.