Msaada

Naomba kwa mtu aliyesoma veta chang'ombe anipe mawasiliano ya msajiri natafuta nafasi jamani

Jamani mbona siku hizi kila kitu kipo tu katika Mitandao? Kama umeweza kuja humu JF umeshindwa nini tu Mkuu kuingia katika Website yao ili upate details zote? Kwanini tunataka sana kumpa Kazi Waziri Mama yetu Ndalichako kwa udhaifu wetu wa kufikiri na kujiongeza kwa mambo mepesi kama haya? Watanzania wenzangu tuache kuwa Wavivu wa Kifikra hivi.
 
Salaam,

Nadhani amekusikia!!

Karibu jukwaa la magari kaka
 
Salaam,

Nadhani amekusikia!!

Karibu jukwaa la magari kaka

Akhsante Kaka na huku huwa napita tu kwa nadra kwani sina Gari na wala sidhani kama itakuja kutokea nikamiliki Gari wakati hata Baiskeli sina. Huku nawaachieni nyie wenye Mikoko yenu.
 
Kila kitu na wakati wake kaka.. usifadhaike
Muda ukiwadia utapata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom