Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,048
Naanza wiki ya pili sasa toka tatizo hili lianze naomba msaada ....napenda kujua chanzo cha tatizo na nini Tiba yake ....yani mate yamekauka mdomoni napata Shida kula kwa sasa inanibidi Nile uku nakunywa maji ..nisaidieni wapedwa