iyelele11 Member Aug 14, 2016 11 1 Apr 17, 2017 #1 naomba msaada wa kujua nitumie cream gan kutoa fangas sehemu za siri
MankaM JF-Expert Member Apr 20, 2013 9,448 3,065 Apr 17, 2017 #3 Cream??? Umejuaje kama ni fangasi na wanahitaji cream? Wah hosp aiseee
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,736 215,920 Apr 17, 2017 #5 iyelele11 said: wa kiume Click to expand... Ongea na pharmacist lakini canestern cream ni nzuri.