Msaada

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari za jumapili,kuna action movie moja ya kizamani kama kuna mtu atakuwa anajua jina lake naomba anitajie,maudhui yake ya ndani kuna kikundi wanajiusisha na utengenezaji wa mafuta ya mawese kwenye kiwanda fulani,na mwishoni kuna majina nayakumbuka kati ya king peter na alex wanapigana wakiwa mtoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…