kunalkunal951
Member
- Sep 17, 2016
- 89
- 12
Kaka yangu anamabaka mabaka meusi mgongoni yani imekuwa INA miaka 7 saivi msaada wenu afanye nini?
Kweli?Aende hospital haraka, kama hayawashi ni mbaya zaid hiyo ni dalili ya saratani ya ngozi