mnoel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 211 Reaction score 98 Jun 9, 2016 #1 Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,765 Reaction score 9,240 Jun 9, 2016 #2 mnoel said: Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa? Click to expand... Ongeza na hii: "siasa za mrengo wa kati/wastani"
mnoel said: Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa? Click to expand... Ongeza na hii: "siasa za mrengo wa kati/wastani"
N Ngido Daudi Member Joined Feb 28, 2016 Posts 14 Reaction score 8 Jun 11, 2016 #3 Ninaomba kutumiwa litany cha Rose Pistols mwandishi