Msaada: Zipi ni stahiki za mwajiliwa wa serikali?

Gazzer

Member
Sep 12, 2012
54
13
Naombeni mnisaidie, mimi ni mwaajiriwa mpya wa serikali , naomba kwa anaefahamu stahiki anazopewa mwajiriwa mpya na serikali pale anapolipoti kwenye kituo chake cha kazi baada ya kupangiwa...kama zipo
(mwajiriwa wa government intistution, local government na central government)
 
Back
Top Bottom