Msaada namna ya ku-download HD YouTube video kwenye Pc

Msaada namna ya ku-download HD YouTube video kwenye Pc

Msaada namna ya ku-download HD YouTube videos kwenye Pc wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Download touch browser kisha install katika pc yako
Ifungue fanya setting zako, ukitaka kudownload video za utube just open Youtube kwenye hiyo browser video ukianza kuifungua tu utaona kialama kinacheza juu upande wa kulia kuashiria kuwa unaweza kudownload
Just simple like that...

Nitajaribu, mana nilikuwa natumia UC Browser ilikuwa ina kitu kama hiyo then wakaja wakaitoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada namna ya ku-download HD YouTube videos kwenye Pc wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia google the search video order.

The inista hiyo software. Kisha utakuwa unacopy link ya video na kuipaste kwenye hiyo software. Kisha unachagua tu quality uitakayo na kuishusha.

Au tumia web ya catchvideo.net

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta app inaitwa 5KPlayer. ukiikosa,sema niupload setup yake na nyie mjaribu. ni ya ukweli
 
Attachments

  • 5kpl.JPG
    5kpl.JPG
    59.2 KB · Views: 137
Back
Top Bottom