Msaada youtube video HD zinasumbua kucheza kwenye PC yangu

Msaada youtube video HD zinasumbua kucheza kwenye PC yangu

TATA MKURIA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
314
Reaction score
441
Wataalam wa IT habari!
Wakuu nna ka pc kangu Panasonic CF W5, nilimuona jamaa akaniwekea windows 10, 32bit. Na kanapiga kaz zang kama kawaida kwani sina matumizi makubwa zaidi ya documents zangu. Ishu inayozingua nikiingia net pc inacheza youtube video kwa kukwama kwama kama ina scratch, ingawa net ipo poa kabisa. Nifanyeje wataalam.
 
startup button ndo inafanyaje
Namaanisha uki right klik ile alama ya windows pale chin kushoto kuna sehemu ya settings za display na hiyo graphics pia ipo na nilipo ichek jibu likawa ipo up to date. Ndo hivo mkuu
 
Back
Top Bottom