Nina mpango wa kukopa ktk benki ya nmb siku za usoni , ni mwajiriwa wa serikali na take home ni 600, 000 .ninaweza kukopa maximum ya kiasi gani na kwa riba ipi??
La kwenda benki sina ubishi nalo japo nilitaka nipate some hints before getting there! Mimi naamini wataalam wengi wamo hukuhuku cyo mbaya wakanipa idea mzee sily!
La kwenda benki sina ubishi
nalo japo nilitaka nipate some hints before getting there! Mimi naamini
wataalam wengi wamo hukuhuku cyo mbaya wakanipa idea mzee sily!