Msaada ya kujua riba za mikopo mbali mbali ndani ya benki ya nmb

Utubora

Senior Member
Jan 31, 2012
141
19
Nina mpango wa kukopa ktk benki ya nmb siku za usoni , ni mwajiriwa wa serikali na take home ni 600, 000 .ninaweza kukopa maximum ya kiasi gani na kwa riba ipi??
 
Nenda benki idara ya mkopo kaulize utapewa msaada mzuri,unataka kila mtu ajue unakopa?
 
La kwenda benki sina ubishi nalo japo nilitaka nipate some hints before getting there! Mimi naamini wataalam wengi wamo hukuhuku cyo mbaya wakanipa idea mzee sily!
 
Naomba riba za hao bay port! Ila ingekua vyema nikapata za nmb wadau!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom