Msaada;... xhiaomi redmi 3s prime... MIUI 7 to MIUI 8

Willy mayor

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
346
44
Simu ipo na MIUI 7 stable (chinese MIUI) then nikitaka ku updates MIUI 8 inakataa kabisa... msaada kwa anaejua how to solve hili tatizo...
 
Simu ipo na MIUI 7 stable (chinese MIUI) then nikitaka ku updates MIUI 8 inakataa kabisa... msaada kwa anaejua how to solve hili tatizo...
Kaka kama upo na MIUI stable ya China kwenda MIUI stable ya global huwa inasumbua mpaka utumie MI flash ku flash upya, Mimi pia nlikuwa China stable nka flash kwa kutumia MI flash nkaondoka China stable na sasa npo global napata OTA updates kama kawa.
 
Umekwama wap Mkuu?
 
Duh..picha hazfunguki Mkuu sion,n way ingia hapa u download recovery rom ya simu yako MIUI 8 Global Beta ROM 7.2.16 for Redmi 3S/Prime Released: Download Here! - Redmi 3S/Prime/3X - Xiaomi MIUI Official Forum ukishamaliza ku download ingia hapa [MIUI DEVICE TEAM] How to Flash / Unbrick Redmi 3S! - Redmi 3S/Prime/3X - Xiaomi MIUI Official Forum ufuate step by step ili kufanikisha tatzo lako.Hyo ndio njia nzur ambayo hata mimi nlitumia kuweka Global developer rom na sasa hv kila ijuma ya wik napata OTA updates.
 
Back
Top Bottom