Mwana vijana wamekuwa wazito kusaka solutions za matatizo yao badala yake kila mtu anaanzisha uzi wake matokeo ndiyo hayo mambo ya kujirudia rudia.
mtu anaweza kuona kachuniwa kumbe watu wameshachangia sana huo uzi huko nyuma.
any way dogo kamata linki hii Win.Lder.rar then ulete matokeo
***muhimu uwe na winrar ili kuextract hilo file, maelekezo mengine utapata mumo humo.........
KRapka Davinoooooooooooo!!!!
NJIA MPYA RAHISI KABISA YA KUPATA GENUINE KATIKA WINDOWS XP,7,VISTA.
nenda start search hapo kwenye search type wga enter zitakuja una rename zote wga unafuta maandish yote una type WGA.OLD kwa hizo zote then una restart kwisha habari yake.jaribu.
[