WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 58
Window Vista kimeo, mimi nimeondowa nimeweka window 7. ni bora hata urudi kwenye window xp.
Exactly mkuu yaani huwa sitaki hata kuisikia hiyo Vista ni mara 1000 ukabaki na XP lakini siyo huyo mdudu, hivyo basi mkuu hapo juu nadhani fanya hima uachane na Vista kabisaaa!!!!!! Ni kimeo labda kuliko OS zote za windows za miaka ya karibuni.
windows vista ni nzito flan lakini unaweza tumia software kama CCLEANER kufix registry zako na pia kufree up hard drive na unnecessary filles, pia fanya defragmentation ya hard drive yako itasaidia kuspeed up your machine. kingine punguza auto start application katika mashine yako. Ukiona inakuzingua zaidi nicheki 0655-003510 am a computer expert na msaada wangu ni malipo kidogo tu! ila fanya hayo niliyokwambia hapo juulaptop yangu window vista inachelewa ku-start up wakati ninapoi-switch on inachukua takribani dk mbili ndo on, naomba wadau mnijuze kuna tatizo au ndo window vista inavyofanya kazi ,naomba suluhisho la hilo tatizo
<br />windows vista ni nzito flan lakini unaweza tumia software kama CCLEANER kufix registry zako na pia kufree up hard drive na unnecessary filles, pia fanya defragmentation ya hard drive yako itasaidia kuspeed up your machine. kingine punguza auto start application katika mashine yako. Ukiona inakuzingua zaidi nicheki 0655-003510 am a computer expert na msaada wangu ni malipo kidogo tu! ila fanya hayo niliyokwambia hapo juu
windows vista ni nzito flan lakini unaweza tumia software kama CCLEANER kufix registry zako na pia kufree up hard drive na unnecessary filles, pia fanya defragmentation ya hard drive yako itasaidia kuspeed up your machine. kingine punguza auto start application katika mashine yako. Ukiona inakuzingua zaidi nicheki 0655-003510 am a computer expert na msaada wangu ni malipo kidogo tu! ila fanya hayo niliyokwambia hapo juu
mkuu wa mandenii naomba lift kwenye thread yako....
wakuu mie nina HP Mini ambaayo ina windows 7 starter, ina mawazo mno kwenye start up , huwa inanichukua hadi dakika tano na mara nyingine inanilazimu kui-force kuizima ili kuiwasha tena,ni mpya kiasi kwani nimeitumia kwa miezi kama nane tuu, kwa heshima naomba msaada wenu wadau.