P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,195
- 621
Nimefanya installation ya Window 8.1 Pro katika laptop yangu HP 630, HDD 500GB processor i3,Ram 4GB tatizo niki~install baadhi ya vitu vilivyopo mfano cambridge dictionary na baadhi ya magemu yanakataa kuinstall au yanakuwa slow sana kufunguka.Tatizo ni nini hapa wataalamu,
CC. CHIEF MKWAWA
CC. CHIEF MKWAWA
Last edited by a moderator: