wa kutambua
Member
- Nov 12, 2011
- 30
- 4
msaada window 7 kila nikizima na kuwasha haisave changes inasema temporary desktop yaani hata nikisave kitu ktk desktop nikiwasha kinafutika na pia screen saver vile vile.
Unatumia antivirus gani? umesha scan kama kuna virus?msaada window 7 kila nikizima na kuwasha haisave changes inasema temporary desktop yaani hata nikisave kitu ktk desktop nikiwasha kinafutika na pia screen saver vile vile.