KUPRINT TOKA KWENYE SMART PHONE

castongo

Member
Mar 16, 2008
57
67
Nimefaulu kuprint kwa simu ya Android, moja kwa moja kwenye printer ya LaserJet P1102. Nadhani kwa printer nyingine itawezekana pia.
Nimetumia OTG cable
51eZ2klwqZL._SY355_.jpg

Usb AB Cable ya kawiaida ya printer
41McK58dM9L._SX355_.jpg

Nimedownload software toka playsotre inayoitwa Printershare click hapa
Nikadownload HP printservice plugin click hapa
Niliona kwenye video ya youtube wengine wamejaribu kutumia printershare peke yake ikakubali, lakini yangu ilikataa hadi nikadownload kwanza HP Print Service plug in . Ikawa na mazuio kwasababu ni demo, Ikawa inaprit test page peke yake. Nikalipa 6,000 kupata full version. Ikakubali.
Sasa nimeinstall Kingsoft office WPS click hapa naweza kwa kutumia cable ya OTG kuandika moja kwa moja kwenye simu kama word ya microsoft kwa kutumia keyboard kubwa ya nje, Pia pamoja na mouse naweza kufanya editting, na kwa kutumia cable hiyo ya OTG pamoja na ile ya USB AB naweza kuprint moja kwa moja kwenye printer bila kugusa computer.
upload_2017-10-27_23-7-32.png
upload_2017-10-27_23-7-32.png
Ila nimepitia mizunguko kidogo, kama mtu kajaribu kwa njia nyingine naomba atushirikishe.
 
Mkuu ungejaribu kuinstall aptoide au blackmart humu utapata apps bure ambazo playstore ni za kulipia.
 
Mkuu ungejaribu kuinstall aptoide au blackmart humu utapata apps bure ambazo playstore ni za kulipia.
Asante sana mkuu, ngoja niicheki. Ni mahali pengine pembani ya playstore? au itaniwezesha kupata zile za playstore. Nashukuru sana
 
Asante sana mkuu, ngoja niicheki. Ni mahali pengine pembani ya playstore? au itaniwezesha kupata zile za playstore. Nashukuru sana
Ni kama playstore ila tofauti yake ni kwamba apps nyingi za kulipia playstore humo unazikuta zikiwa bure kbsa yaan hulipii kitu na unapata full version kbsa.
 
Ni kama playstore ila tofauti yake ni kwamba apps nyingi za kulipia playstore humo unazikuta zikiwa bure kbsa yaan hulipii kitu na unapata full version kbsa.
Hebu tuwekeane list za apps ambazo wewe uliipata aptoide ambayo playstore inalipiwa.
Mimi niliipata electrodroids pro ni nzur sana kwa bei kitonga
 
Back
Top Bottom