Upgrading Laptop Dell Inspiron i 6400 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upgrading Laptop Dell Inspiron i 6400

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kibirizi, Aug 25, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Habari za wakati kama huu, wanajamvi mimi nina computer laptop aina ya dell inspiron 6400 ina RAM 512MB NA SPEED YA PROCESOR NI 1.66gH la naona ipo taratibu sana katika kubrowse program mbalimbali, sasa naomba kuuliza kama nikiongeza RAM mpaka 3GB je inaweza kusolve tatizo au laa, je RAM kati ya laptop moja na nyingine zinatofautiana au ni sawa kwa zote especially model ya DELL, MSAADA PLEASE. thanks in advance.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa ushauri kaa ku upgrade nadahni 2 GB RAM is more than enough for upgrade ya hiyo laptop. Huna haja ya kuwa na 3GB RAM kwa laptop ya 1.66 Ghz. Kuna takiwa kuwa na balansi au ratio kati ya processing power na RAM . Kuongeza moja kwa kupita kisasi haisaidii sana performonce. So upgrade to 2GB na sio 3 GB.

  Kuhsusu type za RAM zipo aina nyingi kutegemea na model yako unaweza kusoma hapa Determining your Computer RAM Type

  So ili kutambua aina ya RAM kwenye laptop yako unachotakiwa kusoma ni manual ya hiyo dell inspiron 6400. katika manual kuna spec za spare parts number na specs zake . unaweza kupata manual kwenye tovuti ya dell. Mfano nime google nimekatana na maelekezo haya Documentation

  Na ukisoma kwenye hii tovuti Computer memory upgrades for Dell Inspiron 6400 Laptop/Notebook from Crucial.com

  Utagundua kuwa laptop yako haina uwezo wa upgrade ya zaidi ya 2GB RAM. 2GB is the maximum RAM kwa mashine yako
  So unachotakiwa ni kununua ni RAM za DDR2 PC2-5300 mbili kila moja iwe na 1GB -
   
 3. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndugu Mtazamaji nashukuru sana kwa ushauri mzuri, kwa hivyo sasa inabidi ile RAM ya 512MB niitoe halafu niweke za 1GB mbili.
   
Loading...