Jamani naombeni msaada! nilicompress File zangu kwa kutumia RaR nikaweka password kwa ajili ya unziping bahati mbaya nimesahau password gani nilitumia. kuna program yoyote au njia gani naweza kutumia ili kuzipata file zangu MUHIMU sana. picha ya file hii hapa chini
View attachment 20613