Msaada: Wimbo wa HOSANNA wa Cosmas Chidumule

Msaada: Wimbo wa HOSANNA wa Cosmas Chidumule

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Shalom watu wa Mungu!
Natafuta wimbo wa Rev.Cosmas Chidumule uitwao Hossana kwa mwenye nao naomba aniwekee hapa nikiusikia redion huqa unanibariki sana lakini nimetafuta ulbum zake madukani sijazipata.
Natanguliza shukrani.
 
Nenda kwenye google search (Cosmas Chidumule Hosanna mp3) utaweza ku download na kujisikilizia mpwa wangu
 
Mimi naomba majina ya waimbaji ama ya nyimbo nzuri zakuabudu tu ni download zinanibariki sana!
 
Cosmas bado hajatoa album yake ya injili mar nyingi ni nyimbo moja moja ndo anazotoa hiyo nyimbo ya HOSANA na kuna nyingine inaitwa NANI ALAUMIWE,nilikutana na Mzee Makasi alinieleza kuna nyimbo mpya nyingine ya Cosmas ameitoa bado cjaipata ktk mitandao zaidi ya kuisikia ktk radio praise power
 
Na mimi natafuta ule unaitwa huyo ni chaguo lako
 
nipe email yako nkutumiepo chaguo lako nawe unaetaka hosana
umepata nawe Fanya ivo
 
Dah aisee huu wimbo nautafuta sana mwenye nao naomba anisaidie
 
Back
Top Bottom