Msaada: wimbo kuwa na picha

kapepa

Senior Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
132
Reaction score
22
wakuu naomba kujua jins ya kuufanya wimbo kuwa na picha ninayoitaka mimi. asanteni
 
Operation hiyo inaitwa Music Tagging... Kuna music tagging softwares za Windows kibao ila mimi nitakushauri utumie hizi mbili.
1.dB poweramp (Limited time Version)
2.Mp3tag (Free Version)

Mp3tag ingawa imepewa jina mp3 lakini ina uwezo mkubwa katika kuwrite music information na inasupport file extension almost zote za music files kama mp3, m4a, wav, n.k.
Lakini dBpoweramp ndiyo mwisho wa maelezo, maana inasupport music files zote mpaka .flac kama unapenda kusikiliza nyimbo zenye quality. Lakini kama wewe ni msikilizaji wa kawaida wa .mp3 files nakushauri utumie mp3tag.
Hizi ni very dimple kutumia. Download, kama utakwama. Tutasaidiana.
Mp3tag >> download.mp3tag.de/mp3tagv266setup.exe
 
wakuu naomba kujua jins ya kuufanya wimbo kuwa na picha ninayoitaka mimi. asanteni

music player nyingi zina uwezo wa kuweka picha pamoja na details zingine ikiwemo lyrics, jina la wimbo, muimbaji n.k
vlc, jetaudio, itunes, hata ile media player ya windows, mimi natumia jetaudio+ kwenye simu pia inaweza, procedure mpk niwe kwenye pc ila ni simple tu ku edit tag
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…