Msaada: wife anapata kichomi kwenye matiti

Zlatanmasoud

Member
Dec 19, 2010
71
15
Leo ni mara ya pili wife kulalamika maumivu makali kwenye titi lake anapatwa na kama kichomi au kama kitu kinachoma. Jee wadau ni nn? Naomba msaada ma great thinker
 
Yaweza kuwa mastitis (breast inflammation):
kama ananyonyesha asiache yakae na mazima muda mrefu(akamue mara kwa mara) ili kuepuka breast abscess.
TIBA:
1.Antibiotics kama erythromycin au ampiclox kwa siku 5.
2.Antipains km paracetamol au diclofenac.
 
Back
Top Bottom