Msaada, WhatsApp Kugoma

Msaada, WhatsApp Kugoma

Gyeoul

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Posts
3,758
Reaction score
5,365
Kama Kichwa Cha Habari Kisemavyo, Nina Tatizo Na Hii Kitu Siku Ya Tatu Leo WhatsApp Inakataa Kupokea Jumbe,

Nimejaribu Kucheck Tatizo La Internet Liko Poa Ila Kuna Mtu Kaniambia Kuwa Imekuwa Connected Na WI-Fi Kwa Iyo Mobile Data Aikubali Kufanya Kazi Naombeni Msaada Wenu Wanajamvi.

Shida Nyengine Ni Google Voice Hii Kitu Ni Inaniboa Mpka Inaniumiza Kichwa Yaani Nashindwa Kufanya Vitu Kwa Amani Inaniingilia Kila Sekunde,Mwenye Uelewa Na Ili Pia Naomba Msaada Wako.
 
inakukumbusha kuwa you are too addicted. pata muda kupumzisha akili na kuwaza free of stress.
 
inakukumbusha kuwa you are too addicted. pata muda kupumzisha akili na kuwaza free of stress.
Hahahahaha,Aksante Ila Ubaya Zaidi Ni Kuwa Situmiii Hii WhatsApp Kwa Uwingi Uo....Ila Kuna Group Ambalo Nahitaji Pata Taarifa Zake So Nahitaji Kwa Kipindi Hiki Kwa Umuhimu Zaidi
 
Ni simu aina gani?, umejaribu kuconnect na Wi-Fi kuona kama shida bado inatokea?
 
Ni simu aina gani?, umejaribu kuconnect na Wi-Fi kuona kama shida bado inatokea?
Boom J8, Ukiconect Na Wi-Fi Inakubari Lakini Na Mobile Data Inagoma,

Na Nipo Mazingira Ambayo Siwezi Tumia Wi-Fi
 
Boom J8, Ukiconect Na Wi-Fi Inakubari Lakini Na Mobile Data Inagoma,

Na Nipo Mazingira Ambayo Siwezi Tumia Wi-Fi
Cheki software kama kuna app inaitwa Hi-Manager kwenye cm yako, huwa inablock mobile connection kwa apps muda mwingine randomly tu bila hata ww kuiset hvo. Ingia hapo ucheki kama Whatsapp imetikiwa au vp
 
Nishaingia Apo Naingia Kwenye Kitu Gani Maana Naona Kuna, MOBILE CLEANUP,DATA TRAFFIC MANAGEMENT,HARASSMENT BLOCK,AUTO START MANGMNT NA APP MNGMNT
 
Nishaingia Apo Naingia Kwenye Kitu Gani Maana Naona Kuna, MOBILE CLEANUP,DATA TRAFFIC MANAGEMENT,HARASSMENT BLOCK,AUTO START MANGMNT NA APP MNGMNT
Ingia Data Traffic Management ucheki app zilizotikiwa halafu ucheki Whatsapp kama imetikiwa
 
Ingia Data Traffic Management ucheki app zilizotikiwa halafu ucheki Whatsapp kama imetikiwa
Nimeingia Apo Nimekuta Ilikuwa Aijatikiwa Nimeitik Naona Jumbe Zinaingia Thanks Mkuu
 
Ingia Data Traffic Management ucheki app zilizotikiwa halafu ucheki Whatsapp kama imetikiwa
Ila Nina Ishu Na Google Voice Inanisumbua Kweli Yaani

Na Pamoja Na App ya Babel Fonts Nayenyewe Imegoma
 
Zinasumbuaje?
Yaani Hii Voice Ya Google Huwa Inaniingilia Mfano Nasikiliza Redio au Music Inanibadirishia Sauti Inanibadirishia Nyimbo Inawasha Redio Bila Kuiambia Ina Interrupt Mpka Inakutoa Kwenye Mood..

Kwenye Babel Fonts Ni Aitaki Funguka
 
Back
Top Bottom