kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,182
Kuna group nipo sasa nataka wasione kama ninasoma commentsSijakuelewa kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna group nipo sasa nataka wasione kama ninasoma commentsSijakuelewa kaka
Aigoooo,Thanks Na Ndo Naipitia Apa Ila Vingi Walivyoelezea Umu Nishavifanya Lakini Bado InasumbuaCheki hii link How to Turn Off “Ok Google” on Your Android Device, hiyo Babel font sijawahi kuitumia....jaribu kuclear data labda itakubali
Jaribu kui-uninstall updates yake au kuidisable kama hautumii kabisaAigoooo,Thanks Na Ndo Naipitia Apa Ila Vingi Walivyoelezea Umu Nishavifanya Lakini Bado Inasumbua
Thanks Mkuu Nilishapata Msaada Wa Hili, Ila Ubarikiwe MkuuHyo cm yako jaribu kuangalia kwenye app manager ifungie whatsapp click show notifications kuna wezekano utakuwa umefunga notifications bila kujua baada ya hapo ur ready to go... ulete mrejesho kama hii coment imekusaidia
KaribuThanks Mkuu Nilishapata Msaada Wa Hili, Ila Ubarikiwe Mkuu
Shida Yake Ilikuwa Imejioff Kwenye Hi Manager...