kama ni whatsapp na ucbrowser inamaana ni app ya Tecno ndio inafanya hivyo,
sikumbuki exactly jina lake ila ni kitu kama hi manager inakuja na tecno inalimit data, app ulizodownload zinashindwa kutumia interent
itafute hio app humo kwenye simu yako kisha ifungue halafu kwenye data limit eka kama gb 999 kisha itafute na whatsapp na uc zitoe kwenye limit zieke ziweze kutumia data.
kama kuna mwenye Tecno atakupa step za kufanya kwa ufasaha zaidi