Duh,
Umenikumbusha na mie nilishapata hii issue, same company, same capacity. Sikumbuki kama nilidondosha lakini. Nikasema nitatoa housing na kuiweka kwenye desktop. I never did get the time. Should make this a weekend project and post something here
.
Kama unaweza, au una mtu anayeweza kuitoa drive yenyewe kwenye case yake, na kuiweka katika desktop yenye SATA connectors (CD Drive connectors should do) unaweza kuangalia video hii hapa.
‪remove‬‏ - YouTube