Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,858 Apr 21, 2018 #1 Nashindwa kupandisha picha hapa kwa maelezo ya kuwa siko verified, na hii imetokea baada ya ku-update app ya Jf, ilhali app kwa app ya zamani nilikua nafanya kwa urahisi tu. Hii imekaaje mods
Nashindwa kupandisha picha hapa kwa maelezo ya kuwa siko verified, na hii imetokea baada ya ku-update app ya Jf, ilhali app kwa app ya zamani nilikua nafanya kwa urahisi tu. Hii imekaaje mods