Msaada wenu wakuu

cheu yang

Senior Member
Mar 4, 2017
115
83
habari wana jukwaa

nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 6 mwaka jana amekosa mkopo ameamua kuomba diploma medical lab muda wa maombi ukifika sasa kama kuna MASHIRIKA mbalimbali ya afya yanayo sponsor anaomba kujuzwa na wakuu wa humu
 
Back
Top Bottom