Nataka niweze kuedit video, picha za kawaida, kutengeneza Magazeti na vitabu
kwa ujumla nataka niwe mahiri katika mambo hayo, nisome Program zipi na wapi?
Kwakuwa huwezi kusoma vyote kwa pamoja!
.
We anza na MICROSOFT tena haraka sana
.
yaani microsoft word, excel, n.k utajifunza na typingi speed yaani kutype kama li robot !
.
Kama tayari unajua nijibu

Jaman na mm npo matatizon nasoma iyo koz ambayo jamaa anaongelea ila sioni kama naelewa zaidi ya kuona story kla tym kwa ambaye amesoma na anaielewa hiyo coz naomba anisaidia ata ikibidi kuspend tym ktk ofc yke