kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,176
- 15,879
MbunyeHiyo ni bidhaa gani 😀😀😀
Yaani huyo demu atamchuna mpaka awe mwekundu kama mdomo wa nguruwe.Kwanza nyie hamjui kuandika
Pili hujui kuchati romantiki, unachati vp na mpenzi wako unaandika herufi kubwa Kama maombi ya kazi ?
Tatu huwa hatuombi hivo direct Kama unaomba mahindi, mapenzi Ni hisia, mnaweza meet sehem mkanywa mkala then automatically mkajikuta mmesex
Kwa kifupi Dem hakufeel, unammboa, ndo maaana anakujibu shit ili ubadili msimamo umpotezeee!
Kimbia mkuu kabla hujaumia zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Papuchinno kwa kiitalia
Herufi kubwa sipendi kuandikiwa kwenye sms sijui kwa nn?Sipendi mtu aniandikie sms kwa herufi kubwa utafikiri anatoa msisitizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah Nimekuelewa sana AiseeKwanza nyie hamjui kuandika
Pili hujui kuchati romantiki, unachati vp na mpenzi wako unaandika herufi kubwa Kama maombi ya kazi ?
Tatu huwa hatuombi hivo direct Kama unaomba mahindi, mapenzi Ni hisia, mnaweza meet sehem mkanywa mkala then automatically mkajikuta mmesex
Kwa kifupi Dem hakufeel, unammboa, ndo maaana anakujibu shit ili ubadili msimamo umpotezeee!
Kimbia mkuu kabla hujaumia zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah kweli kabisa mpaka nikataka kumuhuliza kwa iyo mwanaume akikuudumia tu wewe unampa mwili wako sema nimeogopa kutukanwaNawaonea huruma sana vijana msiooa alafu mnachagua wenza kwa njia mbovu mbovu.
Kama huyu hapo ni mwanamke au changudoaaaa kabisa?
Nikajua anasema hatoi mwili mpaka aolewe,tungejua kwamba anathamini ndoa zaidi ya mwili wake.
Eti anasema hatoi mwili mpaka ugharamikiwe,kwa maana anathamini pesa kuliko mwili ndyo maana aksema ukimgharamia atakupa mwili wake.huyo jiulize kwamba ana wangapi ambao anawaambia hivyo?
Alafu ukute na wewe ndo umependa kizembe zembe tuu,unapendajee kwenye mnung'aze kama huo kwa mfano?
Ndo mana watu tumeoa zetu tumetulia tunawacheki mnaokuja kulalamika lalamika hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyo demu atamchuna mpaka awe mwekundu kama mdomo wa nguruwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasasa hata kuandika hamjui ...mnataka kupeana kitu gani?? wewe ni Jinga kabisa
Sio lahisi unabidi ugalamie, NB:Jifunzeni kwanza kutumia kiswahili kwa ufasaha, na ushauri wangu nyie wote mnaonekana ni watotoHivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !?
Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760
Sent using Jamii Forums mobile app
LAHIC!!! AUGALAMIE!!! BULSHIT!!!Hivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !?
Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760
Sent using Jamii Forums mobile app