MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Ushauli tofauti na ulioitajikaWote jifunzenikuandika kwanza kabla hamjapeana hilo penzi la sivyo mtawapa tabu watoto wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata picha huoni. In short anachosema ni kwamba hawezi kukupa papuchi mpaka utoe pesa....Hivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !?
Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana ya kwamba anataka kuniuziaHata picha huoni. In short anachosema ni kwamba hawezi kukupa papuchi mpaka utoe pesa....
Simple as that jiongeze
Sent using Jamii Forums mobile app
ushauli=Ushauri
Endelea kuongea nae vizuri huenda akakugaramia weweHivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !?
Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa msomi kuliko JPMushauli=Ushauri
ulioitajika=Uliohitajika
Acha ubishi,jifunze kufuata misamiati na silabi za kiswahili kwa ufasaha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hujaelewa nn mkuu gharamia mwili uupate kuanzia tako,kichwa,mwili, vuzi hivyo vyote gharamia matunzo yakeHivi mwanamke mpenzi wako ambaye bado ujawai kukutana naye kimapenzi anapokuandikia SMS kama hiyo hapo chini ya mwisho kabisa anakua anamaanisha nini !?
Kwa wenye uzoefu naombeni ufafanuzi zaidi...View attachment 990760
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama aniuzii kwa nini asinipe kisha akaniambia nina shida fulani na mimi nikamsaidia