Hizo omeprazole sio dawa za vidonda vya tumbo. Tatizo watu hamna maarifa kichwani mnadhani dawa ndo tiba, ukome na pole. Baada ya kukupa onyo sasa nakupa ushauri ili usirudie hayo magonjwa yako afu tena urudi hapa kuomba ushauri. Tumia tena hizo omeprazole then ukipona achana kabisa na vinywaji vya bandia kama soda aina zote na juice za bandia aina zote. Achana na lishe za ovyo kama pipi na biscuits, rejea kwenye lishe za maana kama mboga mboga za asili, nafaka zisizokobolewa nk nk. hutaumwa tumbo tena. Usipofanya hivyo usije kutusumbua hapa.