Mimi ni mwanachuo nipo Open University, naombeni msaada wa mawazo wana Jamii Forums. Niliomba kazi kwenye Shirika la SCIENTIFIC INTERNATIONAL ORGANISATION linalojihusisha na mambo mbalimbali ya maendeleo ya jamii katika nchi za KENYA,UGANDA,na SUDAN.
Nilituma résumé pamoja na cover letter pamoja na scanned documents zangu. Bahati nzuri kama nilivyotazamia wameníjibu na kuniambia nimechaguliwa na kupangiwa JUBA SUDAN lakini kwa conditions za kulipia VISA NA WORKING PERMIT,KWENYE BANK YA KCB TANZANIA BRANCH,ILI NIWE KATI YA SHORT LISTED AMBAO TUTATUMIWA TICKETS.
HIVI HII SIO MICHEZO FULANI YA UTAPELI WADAU,NAOMBENI MTUPIE COMMENTS ZENU KABLA SIJALIWA KEKUNDU.©cholloh