Msaada wenu tafadhali wanaJF, maji yamezidi unga

Kwakuwa alikusaidia wewe unadhani inasaidia na wanaume?

Wewe chura yako aliiweka kama dhamana...
Hahahahahaahahhahahah.....khaaa!!!!
Shemeji jamani.
Mie alinisaidia laki 8 na ilikuwa nyuma ya keyboard.
Hata chura hakuwahi kuiona.
Au aliambiwa itakuwa....
Afu mtu wa dini....sidhani kama chura anaitumia kama wewe.
 
Lazima alishaulizia kwa wakwe kama Mtambuzi

Afu shem ina maana hujui hakuna watu waroho wa chura kama watu wa dini? We waone hivyohivyo tu...

Hakyamama bora mie chapombe sinaga kabisa muda na mtambo wa kinyesi...

Kwanza shetani ashindwe kabisa
 
Hahahha, shem Mtambuzi katekwa na yule mke wako mdogo, hafurukuti kabisa.
Hawezi bhana...nyuzi zake zoooote Jf ni za mambo ya dini tu.
Ni mpiga maombi mmoja mzuri sana humu.
Na ukute ni Padri au Imamu halafu
Ila shetani ana nguvu sana ujue.
 
Usije ukasema sijakuonya lakini...

Shauri zako
 
Back
Top Bottom