Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
nina computer aina ya samsung mini laptop hard drive iliyopo hapo imeshaharibika nimetaka kuweka nyengine ili nifanye installation lakini kila nikiwasha mashine inanihitaji niweke hdd user password hii hard disk ninayoweka siyo mpya ilikwisha tumika katika mashine nyengine je hii hdd user password ni vipi naweza kuitoa natoa shukrani kwa wote.

