Msaada wenu kuhusu PDF

Msaada wenu kuhusu PDF

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,116
Reaction score
2,248
Habari za majukumu wana jf.mara nyingi napenda sana kusoma vitabu softcopy lakini. tatizo langu ni moja, naombeni mnisaidie namna ya kuweka alama ya rangi sehemu niliyoishia kusoma ili nitakapotaka kuendelea iwe rahisi. msaada wenu wadau
 
kama unasoma vitabu usitumie pdf reader tumia ebook reader zina features nyingi sana ikiwemo hiyo ya kumark au kuanzia kusoma pale ulipoishia.

search tu playstore ebook reader
 
kama unasoma vitabu usitumie pdf reader tumia ebook reader zina features nyingi sana ikiwemo hiyo ya kumark au kuanzia kusoma pale ulipoishia.

search tu playstore ebook reader
ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom