Msaada wenu katika research yangu

Msaada wenu katika research yangu

Anhaaa! Kweli nimeona ajitahidi ku i narrow hii
Azungumzie CAPITALISM IN TANZANIA kwenye vitu kama Land Ownership au Industrial Investment au Labour Contracts au hata Uwekezaji wa nje kwenye Sekta ya Madini. Yaani vitu ambavyo ni Hot Cake kwasasa na wala hakosi mifano kabisa!
 
Kweli umeongea kitu kizuri
Research huwa inatakiwa kuwa flexible na kusikiliza watu wana sema nini. Na sku zote idea ya kwanza huwa haiwi perfect kabsaa.
Kama anataka apate shida kwa research bas awe rigid.
Hahaaa hapana Mkuu! rigidness kwang mwiko! that's why nimeileta hapa jukwaani for everthing including criticisms!
Thanks Mkuu, Anyways!
 
Azungumzia CAPITALISM IN TANZANIA kwenye vitu kama Land Ownership au Industrial Investment au Labour Contracts au hata Uwekezaji wa nje kwenye Sekta ya Madini. Yaani vitu ambavyo ni Hot Cake kwasasa na wala hakosi mifano kabisa!
Ubarikiwe Mkuu! at least Nimekuelewa Sasa!
 
Azungumzia CAPITALISM IN TANZANIA kwenye vitu kama Land Ownership au Industrial Investment au Labour Contracts au hata Uwekezaji wa nje kwenye Sekta ya Madini. Yaani vitu ambavyo ni Hot Cake kwasasa na wala hakosi mifano kabisa!
Yes umempa idea nzuri kabisa hizo
 
Umeweka skeleton sana jazia Nyama tukusaidie

Research Ni wigi mpana sana kuanzia Title , objective, hypothesis, Significance n.k

Weka Nyama zaid upate darsa duara
kwa research za non PHD haushauriwi kuweka hypothesis unless una taka kutest theory au ku create theory. bare in your mind
 
Asante kwa Msaada wako Mkuu



NB: Hii ni Exploratory/Inductive Research.
kuna daktari mmoja pale udsm ameandika sana mambo ya ideology tena ametoa iyo research yake this year at least unge sema we unataka ku research kitu gani hasa ? mfano ukisema capitalism ideology ni independent variable sasa unataka uishindanishe na variable gani nyingine ambayo itakuwa ni dependent V. ukisema tu in TZ utakubidi uangalie vitu vingiiiii let say social, economic, political e.tc
 
Back
Top Bottom